By Daniel the Poet
So let me talk about a creature,
Naeza kosa words za ku-mdescribe juu according to scripture akiumbwa nilikuwa nimelala
So kwa hii verse ni akina-Eve ndio nadai ku-feature
Wanasema what a man can do a woman can to better
Kiumbe jasiri na si dhaifu
Mwanamke asili yake nini
Mwanamke naongelea nikiwa bold cause si-fear
Mwanamke namtaja matendo yake ajabu leo namsifia
Im writing to a lady who believes shes a flower and even amidst thorns she can flourish
Ni kweli tuko na forefathers but kenya itabaki kuwa our motherland
Nakumbuka ndani ya MauMau
So si Mukami Kimathi tu but pia Field Marshal Muhoni matendo yao yaliwaacha wengi wakisema wow
Im talking about their bravery
Kuna wale wakilewa ni drama
But these women even behind bars walikua calm
I want to raise a toast for women shujaaz
Im raising a toast to ladies who when looking at the mirror wanaona Sirlleaf Johnson
Im raising a toast to ladies who are walking in the shoes of Karua
Im raising a toast to ladies who believe kenya inaeza pata Mwangaza na si Meru tu
Im raisng a toast to the one bearing the name Wangari Maathai
Im raising a toast to a lady ready to be melted kwa furnace ndio tupate iron lady
Wanawake shupavu Siasa Place Wako, reflection kwa mirror Nerima
Uchungu wa mwana aujuaye mzazi, aah ah! Aujuaye mwanamke
Mbele naeza sema the future is bright juu naona light
#DANIELTHEPOET