Spoken Word

Ni wewe naongelesha

By Campos world

Msidhani tutanyamaza
Tukinyamaza mawe ndio zitaamka zitupigie kelele
Sawa weee lenga my call sieti utakaa Kwa hiyo kiti milele
Open the doors sina connection ya kuulizia Alicia Keys,
Mtanitax
I'm telling you
freedom is coming kinelson Mandela…
Hii tabia haukukua nayo..
Sijui ni power imekulewesha…
Ama Kwa ngozi ya kondoo chui saa hii ndio unajionyesha…
Wewe vile ulituambia tukikupea Tu Kura
You'll be here for us
Mbona saa hii huskii tukisema reject hiyo bill
Taxes zinatunyonya
Wee uko
Miracles za yesu kutuponya haziko
Wee uko
Ukikula Tu fiti
Wewe huko
Sawa mnatuita walala hoi
Huku si ndio tuko
Acha tupige kelele koo zipasuke

Maybe ndio mtatusikiza
Or mkiona tumesambaratika maybe ndio mtasuusika
Ombi ni rejected the finance bill
Reject Sisi ndio hufinance izo bill
Reject Sisi ndio tulikueka Kwa hiyo seat
So jaza tumbo, Kula ukimeza but bill Kwa table is
Reject
Niko na Imani ju nishawitness Jehovah
Na occupy parliament whatsoever

Related posts
Spoken Word

Tomorrow

Spoken Word

Tumlinde Punda

Spoken Word

I PRAY FOR YOU

Spoken Word

LIGHTS OFF

Sign up for our Newsletter and
stay informed

1 Comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *