
By Daniel the Poet
Tick!tack!tick!tack….!
The clock is ticking lakini mambo yako kama sewage, stagnant.
Kwa list ya promises hakuna ata moja naeza tick.
Kukalia hiyo kiti mr. president imekugeuza kupe, kenyans are the cattles and you as the tick youre
sucking
So unlike your government, time is running
Nliamini hii serikali ni yangu ka hustler,
Nliamini maneno ya muuza kuku ndio maana alipotuonyesha the furthest he can go is eying the top
seat sikufikiria mara ,mbili.
Sai promises zako zimekuwa kama alleged fertiliser ya linturi, Fake
Based on the ,manifesto na zile ahadi ulitupatia
Na ile colour yellow tulipaint the country ilifanya tuamini kenya imeiva.
Siezy piga simu ofisini kwako juu bado calls ziko charged na ilikua nisiwai lipia airtime.
More that 100 days na nobody amepokea ile bima ya afya
Ile pesa ya hustler fund ilikua nianzishe biashara lakini after nimeiborrow kwa simu ni mia tatu nlipata.
Ukiwa naibu wa rais ulisema gharama ya maisha ingekua chini
But ironicaly umeingia na mzigo wa taxes unazidi tulemea.
Dear chief hustler, what happened to the wheelbarrow.
Maybe to remind you about affirmative action legislation.
Dear mr. President the river of tears za wakenya imevunja kinga zake
Dear mr. President ni kweli kutafuta kazi ni kazi but don’t assume tuko employed
What ha[ppened to the independence of arms of government?
Maanake from the look of things ile nyundo judge hugonga skuizi iko statehouse,
Lawmakers are never law makers but puppets
Kind of beautiful dolls za kupamba ikulu.
First term na ushaproove kenya is not the place to be, cause youre always on air,
Nyuma yako delegation mzima inakufuata at the cost of tax payers.
Everybody sorrounding you ako na kitambi I doubt ka ni mboga imewanonesha