Spoken Word

PROMISES ZA HUSTLER

By K_Breeze

We can all agree that ahadi viongizi hutupa wakati wa kampeni ni ahadi tupu ama ahadi pepo,sababu
hazionekani,
tumeshinda tukiambiwa ati ooo tumetenga,tutafanya, tutapunguza,mara mwaka huu,mara chini ya
miezi sita,mpaka tumechoka,
I mean tumekuwa restless coz taxes zetu hatuoni vile zinatumika.
mamamboga aliahidiwa makubwa,lakini sai makubwa anaona ni rais akiwa kwa ndege akienda
abroad.Mtu wa boda boda hawezi afford kuenda trips kadha kwa siku,kisa na maana bei ya mafuta
imepanda.
so Ile promise ya proper housing kumbe ilikuwa scum,coz for now hundreds of families hawana pa kuita
nyumbani,na si ati hawakuwa na makazi hapo awali zii,you all know what happened.so Wacha niulize
swali,tutajenga aje nchi,na tukijenga tunabomolewa.
Wananchi wapendwa,nimekam ku understand that promises za hustler Yani bottom up zilikuwa za
ukweli ,but amezifullfill on the other way round, congratulations to him,
but najiuliza if we are the same people atakam kutuomba kura next round,That aside, Wacha watutax
kabisa Hadi tusote,ndio coming 2027 tusikuwe na kitu ya kubuy izo uwongo zao.
Breezy the poet.

Related posts
Spoken Word

Tomorrow

Spoken Word

Tumlinde Punda

Spoken Word

I PRAY FOR YOU

Spoken Word

LIGHTS OFF

Sign up for our Newsletter and
stay informed

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *