ByPalma
Karibu Kenya
Where Tumerudi Siku za Yesu Siku za zakayo,
Where hii gava inataka kukumua Ng'ombe maziwa yote na ng'ombe ako karibu kukufa,
Kila siku Tukiamka ni Tax i think ndio maana waliburn Muguka ndio Mavijana wasijaze
Taxin,
Waheshimiwa walitupromc Kutuletea maendeleo
Na the only maendeleo wanasemaga ni ya KutengaKutenga tu,
Tumetenga hadi tukachoka.
Mlipa ushuru nikama hana Uhuru,
Juu mheshimiwa pekee yeye ndio anaendelea tu,
Na kila sku tukiamka tunapata huyu mheshimiwa ameanikwa hadi kwa Taifa leo juu ya
kupora mali ya uma,
Imagine wametax hadi mkate,
Kando na kuturudisha nyuma wanapanga tuiname hadi breakfast pia
Mtetezi Shuka.. Juu penye tumefika hatuwezi afford 3 meals a day maybe 1meal per
day