Spoken Word

Speak To Me

By Dee Olach

Hallo mkubwa wee uhali gani.. Najua sai unawornder…  unaongea na nani,, okay am Dee Olach a local mwanainchi nilitaka bonga na wee vitu flani..

They aint personal ,, ni za wanaichi wenzangu wamenibuyia hii tubonge atleast tuongee.. Hallo mkubwa are you there bado…

Okay, Life imekua hard I tell you si kama before.. Hali ngumu hatupumui inakukaba koo..

Wamenituma nikuambie hawana kazi watakidhi vipi mahitaji,, Basicneeds zimekua expee hadi to them tumekua needy.. Life inatulemea on our side itabidi mheshimiwa mmeongeza bidii

Naskia kuna housing plan,, nani ataziishi na our fathers left us land nani atazirithi…??

They are on maandamano daily kwa streets juu huwaskizi.. Ni haki wanatafta plus ni their rights wanapractise ya nini polisi…

Si utupe sikio tukuambie ama zako umetia nta…

Riots za polisi iliacha vijana wengi wamekufa..  Family are hopless si unajua vijanaa ndo future.. Uchumi mbaya inatufanya kungangana kila usiku kutwa..

Mheshimiwa why you silent.. Ama unanipuuza..

Bei ya chakula imepanda hatuezi kularaa mbona nchi itushinde apa karibu na tulishatoka far…

Wamenituma nikuambie high cost of living inawasuffocate wanataka uhuru… na vipi kuhusu hii story ya Ushuru..

Si zamani ilikua low mbona sai imepanda ,,

Mheshimiwa wee ndo mwenye Taifa mbona unaruhusu tuskize baba..

Akuna Food home kila siku macho kwa viombo vya habari tuone ka mambo imechange.. Life ilikua on a straight lane but sai ni kama imebend

Na daily naskia issue na mikopo ,,, sijui ka bado walikulend…??

Ama labda uko na ajenda fiche unapretend..

Haloo mheshimiwa… halooo…. Mhesh. Aah ata simu yangu ame End….

 

Related posts
Spoken Word

Ukweli Ni

Spoken Word

Let Me Take You Back

Spoken Word

KUJA NIKWAMBIE

Spoken Word

Kenyan Profile

Sign up for our Newsletter and
stay informed

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *