Sielewi,
In terms of governance for real sielewi,
The leaders we elected to represent us awo ndio wamelaza damu kwa ofisi,
As in our grievances wanazitake for granted,
Whereas the normal mwananchi amekuwa avoided, Sielewi,
Sielewi mbona mtoe promise kwa campaigns,
But mukishinda munaenda parliament camping,
Ati tutapanua barabara,kumbe ni mifuko zenu munapanua kwa ufisadi,
Ni sawa tu,the days are coming for the small fish kupata haki yake,
Though sijui ni lini, Sielewi.