BY MAINA MERYER
Poverty inazidi kwa generous
Mr president, gharama ya maisha imekuwa pain in the ass
48% ni wa kenya wanaokumbwa na msongo wa mawazo
21% ni wa kenya waliopata matatizo ya kiafya
18% ni wa kenya wako katika Hali mbaya kuiuchumi
Tumelack vitamin you, juu bei ilipanda wakaweka ×2 kwa menu
Na ukifika bei ya mafuta ni ka kuhire venue
Situation imetuturn bitter ni ka tukona hasira za mumeru
Sad news kila dhakika adi unawish kuhama ulimwengu