Spoken Word

Police Brutality

By Palma

Nimeshika hii mic na mkono wa kushoto,

Lakini nikiangalia huko nyuma naskia watu ni kulia tu,

Police brutality imekuwa crisis,

Na sini juzi nimeona kwa news Huyo kijana amemangwa,

Nimetoka place yenye,

Hewa mi hupumua kila siku ni ya mtutu wa risasi,

Juu kijana ukiwa na dredi unaangushwa,

Kijana ukiwa na meno ya silver unaangushwa,

Kijana ukiwa madawa unaangushwa,

Ama ndio maana hawa police wanajiitaga the cops

Juu kazi yao ni kuuwa tu,

Na mbona time ya ku Crecruit makarao nyi

Huchekiwa as if mko na meno zote,

Ama hizo meno ni za kuuma the common mwananchi,

Na mamangu anajua vizuri sivutagi bangi,

Lakini wewe wewe ukinishika unaniwekelea kesi ya bangi,

Na hata unajua vizuri ukinishika haunipelekagi kortini,

Na kidogo niko nacho kwa mfuko ya korti,

Unachukua hata bila kuniomba

Related posts
Spoken Word

Nchi ya ahadi

Spoken Word

Swali

Spoken Word

THE MONSTER OF TODAY

Spoken Word

UNITE TO IGNITE

Sign up for our Newsletter and
stay informed

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *