
By Mainameryer
Nilikuwa na phobia ya heights but Sai nikona phobia ya mankind
Sleepless night ndio ni witness sun iki rise
Ikisound right jua Kuna element of lies
Being a woman, death rape, gbv ndio utapay ka price
Na kupenda ndio ilimcost her life
For 9 months amekucarry kwa womb, akufeed, akucloth
Sai unatake her life
Wewe ni nani una act ka christ
Mlimstrip off kwa street, mkadai ako uchi ju alikuwa amevaa mini
Makasisi hawakashif hizi sins ju perpetrator ni waumini
Freedom of expression kwa queer si express
Mlistrip stud off kwa street ju hakukua amevaa mini
Daily news ni disturbing, watu wameturn inhuman adi mimi si amini
Nani akona right ya ku judge, right ya ku curse, right ya ku kill kurudisha dust to dust
Nani akona right ya ku decide nani ku live anadeserve
Nani ndio judge nani ako incharge
Nani aliandika mail azaliwe male ama female