
By Daniel The Poet
Give me a second nko na kitu nadai kusema before you put that tape across my mouth
Time mlikula kiapo mliswear tungekua na confidence ya kujibonga bila uoga,
Nashangaa sai mmebadilika,
Si tuliwaamini mliposema gharama ya maisha mungeishukisha,
Upto this point nyinyi ni mashahidi,
Vitu mlituahidi hamjatimiza.
Ilikua mdeliver after 100 days
But its ironical mama mjamzito amedeliver mbele yenu
Tuliwahype mlipokuja kwa ground
Tulienjoy zilechapo mlibuy time ya campaign
Tulisema nyinyi ndio mnajua haja zetu
Soon after kuingia kwa ofisi all of a sudden diet imechange
Ni kweli mnatupea fruits, swali ni ,mbona ikue guavas kila saa
Struggles ni real, ile uchungu unapitie kusaka food ndio bado utaifeel ukienda haja
Sai kuna order ilitoka ya sisi kushikwa ju tumewakumbusha vile gharama ya maisha iko juu
Anytime mmekuja kwa ground
Kwani ile freedom ya speech itabaki kuzikwa tu kwa katiba
Si nadhani iyo statement huku nje ilikua tuitumie kama tiba
Inauma kuona how every morning tunaamkia bitter pills
Ndio naamini struggles za mwananchi zitabaki kuwa furaha kwa wengine cause kama ni the pain we are going through its only us who can tell how it feels
Ata ile committee ilikua established yenye tuliexpect waongelee gharama ya maisha walitufunga macho but sai ndio tumeelewa hadi wao walikua thirsty for those seats
And sai narrative imechange, they no longer want nusu mkate but shares kwa bakery
Another fine public tuckle from our leaders.
https://soundcloud.com/siasa-place-kenya/nashindwa-kujibonga-daniel-the-poet-1?si=6da6dde1895f49eb8d9cfe854541469e&utm_source=clipboard&utm_medium=text&utm_campaign=social_sharing