Spoken Word

Margaret-Mama

By A-zee Coptel – Baba Taifa

Labor pains karate kid 9months napractise kicks na snares,

One day umechelewa clinic daktari anakusomea,

Kutapika kuchafuka roho mambo mob umejionea,

Born Sunday 3am kibahati ambilicol cord disconnected kwa giza,

Kusurvive kwa mkono ya mkunga ilikua miujiza,

Mchana ikakua usiku na usiku pia kuna giza,

Bahati jina ukaniita ndio giza ikapungua,

Sigh of relief me ni blessing mwangaza imeingia,

Nine kids with empty stomach,tembea miguu save fare ndio tupate yakudishi,

School fee tukagawana ata pocke haitoshi,

Na bila bursary bado tulitoboa chuoni

Nifikiria penye umetoka me natokwa na machozi.

Mother hajawai kua at ease,anacry from deep within but anasema ako fine,

3am tuko asleeep we uko chini maagoti unamention blessings kila mtoi by name,

Ukicall niko busy,sometime late night meetings na bado we ni mpatient na me,

Shokananga ta! Ukona bidii endelea ivo we uniencourage

You made it through the nights now is brighter days for us,

Vitu ulifanya tusurvive only God ndio anajua,

Mchanganyiko ya maisha ukalainisha

Nikona pesa natenga muda nawe twende Mombasa,breakfast Diani dinner ndani ya hotel Travellers,

Upepo mwanana unatupiga juu ombi lako haikupingwa God alijubu

Niko blesses mama unawitnedd mafanikio yangu

No matter how strong Iam now siwezi sahau ulinichange nappies

Ata dunia ianze tena mapenzi ya mama haifikiwi

Related posts
Spoken Word

Tomorrow

Spoken Word

Tumlinde Punda

Spoken Word

I PRAY FOR YOU

Spoken Word

LIGHTS OFF

Sign up for our Newsletter and
stay informed

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *