By Palma wa Vasho
Dear Mama,
Najua the best gift God alinipea ni wewe mama,
Nani kama mama,
Most of the time ulingoja nishibe ndio ukule,
After kunibeba miezi tisa ukanifunza kusoma
Nambari moja hadi tisa,
Dear mama bado najituma,
Kila siku na Kneel to the most high juu sidai
Kukulet down,
Najua hata mahaters hawawezi niharm kwa
Sababu wewe ni my personal observer,