By Campos World
Kipofu naona mbali
Washaniziba macho nisione, nisione vile things zinaenda shoto
Macho hayana pazia,
Washanipofua macho nisione, nisione izi vitu hao hufanya nyuma ya pazia
Yea but Mimi naona mbali, naona vile watanirudia wakisema wako na plans na nitasema ni too late
Naona vile zile barabara, walishindwa kuzifanya baraaabara wakizitumia tena kaa kigezo
Za kujitafutia kazi
Si tuliwapee
Saa hii songs ni za tumetenga tumetenga tumetenga
Na hatuoni, yea washatupofua macho
But kipofu Mimi naona mbali
Naona kule 2027
I won’t be same again
Nadai kufanya mabadiliko
Nichague leader Bora mwenye ako
Tubadiliashe wimbo
Uwe uliobora
Kipofu mie, naona, naona mbali