Spoken Word

Bible Ndio Make Up_A-zee Coptel

Tumezoea kupigwa ngeta na mkono wa sheria,

Tumia Bible Ka Make-up yakujifunikia,

Usipohonga unanyongwa,

Ukibonga Unabondwa,

Na monkey yako pia wananyonga,

Ikisonga unafungwa,

Unanyimwa Bond Na Majudge Conman,

Usipokua too strong,watakunyong-nyonga,

Charge sheet no longer,

Than afew words,

Too many kidnaps,

Lakini hatuokoti Miili-mali,

We ndio victim utashtakiwa Mili-mani,

Akili Mali,

Kukufilishisha watakunyongea Kili-mani,

I cant breathe wameninyongea kitanda,

I can’t sleep and so I cant dream,

Na eviction notice inakam next week,

Unashinda na pressure na plus walikusensor,

Neighbour ni spy akona bunduki silencer,

My minor daughter anamtupianga magesture,

Siwezifoot bills kitatu yangu imeishanga matexture,

Country inarun mbaya na bado wakupee lecture,

Related posts
Spoken Word

Tomorrow

Spoken Word

Tumlinde Punda

Spoken Word

I PRAY FOR YOU

Spoken Word

LIGHTS OFF

Sign up for our Newsletter and
stay informed

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *