Spoken Word

ISSUES AT HAND

BY MAINA MERYER

 

Mchungaji makezi alidai tuko cursed, prophecy za revaluation zinakam tupass

Kufast ni must, even thou huku attend church mass

Mwanainchi aliingiziwa box na punch, na crocodile tears ju kiongozi alilia mbele ya church

Kura yangu ndio ilikuweka incharge, ukapata jinsi ya kuniimbia na kupandisha vitu tax

Itakuaje nalipia nywele ushuru ju mi ni ras

Soko si huru, gava imeongeza tax

Vijana hawana uhuru, government inawaharass

Tulikuchagua ukaenda parliament ku relax, queer ukawadiscuss, badala ya ku solve issue at hand, issue ya njaa.

Related posts
Spoken Word

Ukweli Ni

Spoken Word

Let Me Take You Back

Spoken Word

KUJA NIKWAMBIE

Spoken Word

Kenyan Profile

Sign up for our Newsletter and
stay informed

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *