Alikuwa a noise maker hadi alipotuondokea… Ilibidi tuobserve a moment of silence
But haikufaa ikuwe ivi ..Caught in a mob justice man , Jemoo alikua a justice man
Mistaken injustice..
Alijaribu sema alikuwa a right man but mob justice ilisema your not man
Hivyo ndivyo Jemoo alituondokea bila makosa
Mum wake alimu advice abakie to Ocha but Jemoo alikua na dream ya kumnunulia
Mum wake Voxy little did he know alikuwa ame Noah..
From Voxy to a coffin hivyo ndo dream yake ilizima
Mum wake analia anasema ni heri angebaki Ocha tuu akalima
Indeed he was a right man nasema na uchungu ju napity this man
Mama Jemoo alienda tafta justice court ju hakukuwa na evidence so obivious none
was arraign in court.
Mum wake akaona court was injustice pia ,, Huyu mama si ati alikuwa na hasira ,, hapana alitaka
haki itendeke kwa mtoto wake Jemmo na kwake pia.
Huyu mama alikesha kulia justice lakini hakuna aliyemskia
So alipokuwa katika safari yake ya kusaka justice ghafla akagongwa…
Na hapo safari yake ya kusaka Justice Ikaishia
Poet Dee Olach