By Palma Wa Vasho
For the Love of the Nation,
Sisi mayut ndo majority Gava isitu mis–Use, Viongozi ni wale wale,Tabia ni ile ile tu, Wanablow hot air mbele ya camera,
lkifika nyuma ya camera wanaitana my brother
Wakihave a dinner,
Maisha imekuwa ni kipimajoto,
Hope uliona chenye kilifanyika Maseno Campo, Mi Ufeel bad nikiona young life ikipotea.
Afande, mi-Udhani tunafaa kuishi na Undugu,
But design unatoa watu Tears na Tear Gas inajaza
Watu pressure na Gas,
Sisi tuuwane for their own benefit Wakitucheki tu, Ndo maana nasema ukabila hauwezi