By Campos World
Wee Peana na kushoto uchukue na kulia
Ignore hizo wananchi wamezoea kulia
Call your uniform boys, few bullets Tu watatulia
Don’t even worry wakiletaa… mbele ya haki watatangulia
Si Mimi ndio kiongozi,
Ambia magazeti na TV waseme opposition ndio wezi,
Huyu sio leader nilichagua
Mwenye ananionyesha difference ya mwananchi na mwenye nchi
I want change kwa leadership, msee atatutetea kama wananchi
Msee ataelewa vile si Kwa ground huumia na sio kaa wanyama wa kupigwa bullets
Msee ataelewa this not a corrupt nation
Msee ataelewa tunalive kwa gerenation yenye dreams na ambition
Kuchange uchumi na Ku create job opportunities ndio tunadai
Where are the manifestos ulitupromise
Sii Tumechoka,
We need peace and solidarity
We need to end the trend of corruption
We need to bridge the leadership ya viongozi na common mwananchi..
Haki iwe ngao na mlinzi
Tujenge taifa letu, si huo ndio wajibu wetu.