Spoken Word

The Journey of My Life Write

By Shesia the Poet

Nipe kiti nikalie juu nimechoka kusimama nimechoka kusimama nikiskia sauti ya viongozi we remember we stood to campaign for you but inauma watu tulichagua ndio wapewa security ya kuwalinda from us and sai wanatuona we are pain in their ass

Kwa offisi zao kuna smoke all times and wananchi wako njaa I think they are cooking justice which has never been served na usisahau toilets zimegeuka kua chimney juu kuna Kiongozi ako high kwa madrugs walitoa kortini kama evidence

Siwezi lia juu kila time natoa sauti natulizwa na “tulia wacha kulia we will do something “ this society is sick

Maybe mimi n kama kipofu analeta shida mbele ya polisi ndio aone watafanya nn,maybe mm n kama maskini hawezi kuafford ku pay attention juu my tears and their tears kuna vile hazifanani my tears are real while they have crocodile tears

Nashangaa nchi iko na religious leadership ndio inaongoza kwa prostitution in the name of meeting their needs and rights what a sick society

Kuna rumours ule dem chief alimpea bursary sai wamepatikana na yeye kwa bar sai wakikula salary kwan sai hakuna free things n mchezo wa nipe nikupe

Sai society inataka madem wako ass kwa wingi kuliko papers and madem wanaeza ride kuliko wenye wako na licence

Inauma vile Kiongozi amefungua bar saba kwa Town na turkana kuna baa la njaa inauma vile Kiongozi anaongeza kitambi and it has been a month since stove yangu ione light juu haina tambi

Heri mtupee chakula ya GMO tukule tufee juu we are worth nothing to you

,hatujasahau vile mnatuongezea tax in the name paying the debts kumbe its being deposited in personal accounts

Hatujasau the bandits from turkana are funded with people like you, juu hizo silaha are not easily accessible you are evil

Let me drop the 🖋 pen am crying for my nation 🇰kenya

Related posts
Spoken Word

PRA TREE

Spoken Word

Ngeli ya TU

Spoken Word

NA-JUA

Spoken Word

MGALA MUUE...

Sign up for our Newsletter and
stay informed

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *