By Campos World
Mom alinizaa akaniita justice
Streets zikapata sipatikani
So wakaamua waniite Tu justo
I wasn’t solo that Day nilikua na kina collo
Matching, screaming at the top of our voices tukidai haki
Yea umenisikia haki, But as I’m telling this Mimi Tu ndio nimebaki
With a bullet scar on chest,Kwani tulikosea Nani
Si I thought ni right yetu Ku demonstrate mtaani
Yea I’m justice but currently niko missing.
Hiyo siku mateargas hazikutosha
Yule mathee nilimuona akikam forward huku gun amenyosha
Mkono ni Moto Nani alifire arm, Twatwa niliona collo chini, blood all-over
Sikua sure na vitu naona, before nimereach
Macho ilianza kuona mbilimbili body feeling numb
Chini nikadondoka, the loud sounds zinakaanza kukua whispers
Darkness ikafeel in my eyes, The next thing nakumbuka nikiamka Kwa Ile room ya white
Cute lady smiling at me eti I’m lucky sijamute
But wasee wa ballistics wanasema hawaezi track msee alifire hiyo arm
Ma live bullet si tulidhani maybe ni ma rubber bullets
Eti ni ngori, lcollo na wengine kadhaa nawaonea Kwa news hawakumake it
And the world imenyamaza tu
Enyewe Justice I’m missing,
Incase ni mute, Kwa kaburi yangu msikuje na hizo ma bouquets
Drop your punchlines I will love it.