By Daniel Poet
Wanasema haina haja ublow your own trumpet
Na ndio maana im blowing it on behalf of my forefathers
Na envy wale wote wanamake efforts ili sauti za wanyonge ziskike
Wale wanaona vijana wako na potential
Wale watakubali vijana waongoze si kushinda wametupromise kuongoza kesho.
For long tumekua convinced, mashujaa ni wale wanatoka kwa royal families
Maybe juu wamegrab mashamba and leaving some of us kuwa masquota in our own motherland ati because my grand father hakuwin kwa struggle wakati wa ukoloni
Still to me hao ni mashujaa those who took a bullet for us in this generation
Unfortunately their names hazikuwa recorded……gone too soon
Ironical ku own shamba unazunguka na gari yet in the same land tuko na masquotas
RIP Mzee Flani wa Flani, na Mama nani Nanyake so and so
Moment of silence to the fallen soldiers, male and female
So hii verse ni ya all mashujaa,
Wale wanapigania jamii,
Its time majina zenu zikuwe featured kwa list of heroes
Tumechoka kuwa common wananchi, we want to own our land too
for so long camera imekua ikimulika likes of Githeri man
Tell me kati ya yule aliamka na njaa kuenda kuvote na yule alipata time akapika hadi akapack food….nani ni shujaa, staki mnijibu, think about it
Mhesh juzi alishangaa ati, tunacomplain juu ya ushuru na hatukuli mshahara
Shujaa ni yule atamfunza about indirect taxes
Yule atamuelimisha kuwa enzi za butter trade ziliisha
And tunatumia currency as a medium of exchange currently
Kwa nini tusipige nduru tukiona wale wanatumia mafuta taa kupika wakiwa na kiburi kuliko those who own magari za diesel,
Shujaa ni yule atadai vitu walitupromise before wakalie izo viti now that wanatuona washenzi
Shujaa ni yule atasimama apaze sauti aambie King ako uchi
Shujaa ni yule atapigania watoto wa kizazi hajaona
Na si yule atataka kuendeleza jina ya familia yake.