Spoken Word

Kenyan by Mistake

By Shesia the Poet

Ningekua nimezaliwa Somalia nikose pesa ningejoin alshabaab ,

Ningekua ready ata kujilipua coz kazi ni kazi Bora unga.

Sometimes it’s better to die than to suffer,

Nawish ningezaliwa Tanzania maybe Samia angetumia u-bongo kuleta suluhu,

Lakini nimejipata Kenya nakubaliana na matokeo but napingana na matukio yanayojiri,

Ningekua lucky Ka ningetoka Kwa familia ya Kenyatta singewai complain of hunger , maybe time am fasting only.

But kutoka Kwa poor family kwangu nikama curse,

Wananijudge coz natoka Kwa kabila lile nanyimwa opportunities,

But siku ya voting Mimi ni VIP (very important person)

After voting nakuwa VUP (very useless person)

Karibu Kwa my country Kenya yenye after kupata independent tumekua dependant.

Everything ikienda mess viongozi wanalaumiana na mwananchi anazidi kuumia,

Value ya thao (1k) imekua kama ya mbao (20bob) na bado ukiwa na thao unalia mau -bao  Tu,

Msaka  tonge nimewachwa kinywa wazi na maswali hayana majibu.

So ni true hii condition yenye Kenya tuko sai

Ni effects za COVID zinafanya wakenya Wana suffer more than 19 times in a day?

Ama ni handshake ndio chanzo cha uchumi kupanda?

Ama ni kutoelewana kati ya Prezzo na his running mate imeresult into this vice?

Na je ! Vita ya Ukraine na Russia ndio chanzo cha Sisi kushindwa kufight corruption in our country?

Na Ka hicho si chanzo mbona , mbona waiguru Yuko huru na mode of transport alitumia flight kuiba pesa ya NYS,

Ama nikifuatilia hiyo story pia kwangu itakua in a mess?

Wacha nimwachie apo ni Mimi shesia.

Related posts
Spoken Word

Ukweli Ni

Spoken Word

Let Me Take You Back

Spoken Word

KUJA NIKWAMBIE

Spoken Word

Kenyan Profile

Sign up for our Newsletter and
stay informed

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *