By Poet Denkuz
IWD2024
Heyy..
Hii piece niliichora kaa nime simama
Juu kaa si mama, ningekua na murmur
Mama wangu, mama wako na ule mama wa kibanda wote hapa ni wa mama,
Before nifike studio
Hii piece niliichora in pieces
Piece ya kwanza ni ya wanawake wanajituma
Sir God okoa jahazi,
Juu ni wewe tu unaeza redeem hizi struggles zao into success
Wapate ku ku access wakusifu vi excess
Wazidi kubonga na points
Walishe familia na wajijenge kimaisha
Piece ya pili ni ya wanawake wote wameachwa nyuma
ooh God najua love yako Iko unlimited na haina expiry date,
Lord kwanzia Leo tu waonyeshe upendo wako
Wakubalike katika Dunia hii
Waweze kuishi kwa furaha na pia wahesabike
Kama wanawake wengine
Wapate kazi pia wao walishe
Piece ya tatu ni ya wanawake wametuacha
Fighting for their rights to be women
Ooh lord have mercy on them
For all women who have left us may their souls rest in piece today as we celebrate them
Na kwa pamoja tu fight hii gender based violence cause we all matter
And women matter too
Young women out here may you all be protected by Gods grace.
Let’s fight together
Niko na wewe
Happy International Women Day 2024