Waliokaa wakachora ramani
walijua Kenya Ni nchi ya thamani
Nia yao ilikuwa tusahau ukoloni Wa zamani
walitaka nothing but amani
The National flag ilimaliza yote
so tusikubali ukabila utuvuruge
Mimi na wewe ni figure ya humanity
Leo nimekam kwa wema tuongee kama watu wazima
Nataka mkumbuke yote tunayapitia Ni mlima
hakuna perfect zaidi ya God
Kenya kuna Gold ,si imezalisha Coast !?
Fort Jesus imetuletea zile pillars
Alikuja na akatulia Vasco da Gama
kila aingiaye aisee anakwama
Look at the map and forget the gap
Look at the map and see how far we came as a nation
aside with the teargas
aside with the Shaurimoyo commandments
the Maa Nation as the heart of pulse redeems our blessed cities
Nchi inazidi kuchemka BABA akichomelea koo kwa streets
si right ukicondemn the needful inayotuhusu mimi na wewe
For once tukubali the pure truth
blood kwa ground inatudai na we can only heal ka tutakaa chini Na wengine pia wenye utu watuongoze
Wenye Viti wako fine and favourable, blander ni kutumia kifua, politricks na uchumi unatuponda
Tupendane jamaa
Hatuwezi grow tukitazamana kama scarecrows na nyani bado zinatuvamia!
Mungu ingilia kati tusije zidi angamia!