Spoken Word

Usquota

By Daniel the Poet

USQUOTA

Haloo…apo ni China embassy,

Naomba muwekee willy news aone vile uku home tunafanyiwa

maybe anaeza rudi atuokoe

The whole country inatiririkwa na machozi,

whith our recent stream ikiwa vilio za watu wa Athi

Ukiuliza mbona tunabomolewa utaambiwa ni kweli mlijenga lakini simiti mlitumia ni ya Bamburi

Yet shamba ilikua ya Portland cement,

Tell me hizi familia zinafaa kuenda wapi yet project ya affordable housing haijakamilika,

Just to ask, nani anafuel hizo buldozas

Tell me, nani alitoa amri askari wakuwe deployed Athi

Itakuaje serikali iko na mkono mrefu but haiwezi fika kusaidia wananchi

Or nani amecondem the act of inhumanity

Baba nanii anashikilia tittle deed lakini haamini,

Haamini ni ofisa kutoka ofisi ya land ndio alikuja kupima his parcel of land

But years later what he built out of his sweat miaka hizo zote

Inakua brought down in a single day.

So it happened call yangu iliingia kwa voice mail but willy alirudi,

So hata kabla hatujasettle stori na land ya Athi, naskia watu Embakasi wanalia,

Sijui mbona serikali inatuhangaisha, naskia tulipewa option ya kubuy izo mashamba ama tutoke,

But talking of mashamba waligrab miaka ya sitini ili waomoke is where they draw the line

Sai naskia estate ya mzee nanii na Arap so sssand so is yet to be decided kama zitakua subjected kulipa ushuru

So ironical, viongozi kujadili mali ya matajiri yet common mwananchi anapigwa na baridi akifuatilia proceedings za kesi ya shamba walifikisha kwa korti

So wasipewe sitting allowance tu but wapelekewe vitanda wazidi kulala ndani ya bunge juu wameshindwa kutetea wananchi.

Related posts
Spoken Word

Nchi ya ahadi

Spoken Word

Swali

Spoken Word

THE MONSTER OF TODAY

Spoken Word

UNITE TO IGNITE

Sign up for our Newsletter and
stay informed

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *