Spoken Word

Zero Malaria

By Palma

Nmeshika mike na Pen,
Juu kwa vitaa ya kifight malaria sisi wote tuko ndani,
Hizi words nataka kusema hapa mkuwe keen,
Juu maybe zinaweza save a life,
Dear Kenya Malaria Youth corps nawapongeza kwa kupigana na malaria,
Juu Kwa hii vita sisi wote tuko ndani,
Na ndio maana tunasema Zero Malaria Starts with me,
Salimia jirana yako yako na umwambie Zero Malaria starts with us all,
Mosquito bila neti,
Unapimwa Unapatikana uko na malaria,
Kitu ungeavoid rahisi hadi kushinda Bacteria,
Si uwongo malaria inaua, si huko mombasa nilicheki kwa news hao watoi walikufa,
Tukishikana tutakomesha malaria,
Si huko ghetto si huumia,
Madawa ndio zimekuwa Food juu malaria imekukaba hadi Tukatii,
Na Ndio maana tunasema kwa hii vitaa sisi wote tuko ndani,
Na Tukishikana pamoja kama Generation Z Tutakomesha malaria.

Related posts
Spoken Word

Tomorrow

Spoken Word

Tumlinde Punda

Spoken Word

I PRAY FOR YOU

Spoken Word

LIGHTS OFF

Sign up for our Newsletter and
stay informed

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *