Spoken Word

Road Safety

By Daniel the Poet

RIP to the souls we’ve lost on our roads, another one from Daniel The Poet….. skritches za brakes, paparazzi barabarani kila day road accidents Kuna watu inaua

Hakuna abiria husema ashukishwe apande kitanda but mostly ni ambulance huwafikisha

Hakuna abiria hutaka kuishia ICU lakini ni machela huwabeba.

Ajali barabarani imepokonya wengi destiny.

Mara ngapi tumekaa chini tujue kiini,report zinasema both abiria na dere hawajali.

Abiria anasimama stage na bado kwa gari akiingia anasimama.

Festive season ndio ajali hubisha .

Greed for money tumeona unworthy vehicles barabarani.

Sielewi mbona slogan ya don’t drink and drive ikue lifted wakati wa festive season.

Inauma kupoteza family members walidai kufika get together lakini mazishi ime end up kutubring together.

Madere chai mnapeana acha iongezwe majani ndio makarao waona vile ajali zinaua.

Barabara zinaua but tukifuata Sheria tutasurvive.

Blackspots ziwekwe taa ndio madere waone mbele.

Construction of the roads na gava with aim to reduce congestion lakini sielewi mbona kila day tunaamkia destruction.

It’s high time tukue alert on our roads,hii message ipitishwe kwa dere na abiria wote wakeep safety barabarani.

Related posts
Spoken Word

Nchi ya ahadi

Spoken Word

Swali

Spoken Word

THE MONSTER OF TODAY

Spoken Word

UNITE TO IGNITE

Sign up for our Newsletter and
stay informed

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *