
By Daniel the Poet
Im writing to those God chosen leaders telling them the last miracle ilifanyika time ya Yesu
So waache kutumia maombi place daktari anafaa aandike prescription
Somebody remind them citizens are dying every day the doctors wako kwa streets
Na kuna wale wamemaliza more than four days mortuary I doubt ka Yesu atakam through like he did for lazarus
System ilikua ya bottom up, I guess wenye walikua juu before this regime are finding it hard
tell me how do you empower ka mshahara mtaitoa 200k ifike 70k
Every day spent kwa street means a life lost
Time is running and you should be seeing that cause allegedly on your wrist ni watch ya mili
So after maandamano kuwekwa kama right
Thank God serikali inajaribu its very best tuonekane kwa street
Guess nani wamefikiwa this time, madaktari
So after years ya kuandika kwa madaftari
Nani alijua time yao ya ku-exercise their right kwa katiba ingefika
So viongozi wameshikana kukill ndoto za huyu graduate alitaka kuleta tiba
Nyashinski alikua right aliposema yule ana mingi ndio anaongezewa juu yake
Ni mara ngapi tumesomewa budget na yule amekalia top seat anaongezewa zaidi
Or kama si hivyo pesa inakua allocated kurenovate nyumba ya naibu wake ni zaidi ya cost ilitumika kuijenga
Walitulazimisha na bima ya afya ndio wafukuze madaktari mapolitician watutibu ama ni vipi
So ni sawa mwanchi kukufia hospitalini huku daktari ako kwa street ama?
Kuna ambulance flani imekwama kwa jam kisa madaktari wako kwa street
The irony ya kuona viongozi kwa bunge wakishikana kupigania increase ya salary
But on the other hand watapinga madaktari wakidemand an increament of the same
Magavana pia wasituone washenzi, hizo threats za kuimport foreign doctors wont work on us
Na maybe kila mkenya anafaa kujua the secret card about to be played
For so long they have been flying kutibiwa maybe its time wawalete madaktari wao nyumbani
So tell me kama si kidole cha kati viongozi wanaonyesha madaktari ni kidole gani kiko juu
Message yangu ni moja,
Mgala muue na haki yake mpe