Spoken Word

MAISHA HII

Najua kubonga KILAMI but mambo hayako BARA’BARA maybe ningekua traffic police life Yangu haingekuwa na Jam. Cheki Maisha imekuwa NGUMUU siezi afford ata HALF CAKE, kusoma nimesoma VITABU but since nigraduate sijapata ata kazi ya BUKU, Mpaka nafeel wenye wako na kazi ni watoto wa MAMA vile wako na BAHATI.

Nimezunguka kwa offices zao kusaka Job but wananiketisha kwa kiti ya MBAO na wahanipi ata COFFEE. Ukienda interviews, kitu inaangaliwa ni Surname wengine tunapoteza Tu TIME tukiWATCH.Wamekuwa OLD kwa hizo Offices na hawana NEW ideas,Hakuna ROOMS za young people juu wana-own the whole PLOT, wanaotoa Hongo ndo wanapewa hongera Sisi wengine hatuna budi tunachorea. papers zangu hazinisaidii Mpaka nafeel ni karatasi Tu.

Tunapiga selfie with a smile kwa face but behind cameras watu wako depressed, Hata msanii kwa ground hakuna CHAI anapata ni MAKOFI Tu akitoka stage, Sina ata connection yakufanya kazi BAKERY nitaitwa aje BREAD WINNER.Niko Msoto daily Mpaka nafeel relationships ni JOBLESS ndomana Kwangu HAZIWORK vile ziko na Vitu MAJOR so SITAWEZANA,

Niko kwa country yenye Hata ukawa na Mwili mkubwa kupata kazi utatoa kitu kidogo. Niko kwa country yenye ata seremala bado hawezi eka chakula kwa meza juu amekosa Market, Niko kwa country yenye Haki imetajwa kwa national anthem pekee.

Sammy Tommy.

Related posts
Spoken Word

Maendeleo

Spoken Word

Story of Violence

Spoken Word

Margaret-Mama

Spoken Word

Dear Mama - IWD 20204

Sign up for our Newsletter and
stay informed

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *