
By K_Breeze.
Everytime budget ikiundwa sijui kama the normal mwananchi uwa anahusishwa,
coz anytime I hear of the finance bill,lazima Wanjiku alalamike ati anadhalilishwa,
so instead niulize swali,hizi public participation munatuita,uwa za maana gani,coz tukiangusha bill
pale,waheshimiwa wanapitisha kwa parliament,
Welcome to my country where the finance bill huwa ni rigid document,imejazwa na maneno ya kutisha
ili the ordinary citizen asicomment,
But this year awards goes to the ordinary citizen kwa kusoma bill,kuchambua nakutoa maoni wazi wazi,
kwa kweli finance bill this year haiyuko wazi,
wakitutax mkate ,will it lead to low cost of living,Eco levy wanaweka ya nini,ni swali tu,
I mean the transparency in the bill hakuna,,
Na kwa public participation si tuli agree tunaangusha,
so the narrative this year ni Mbunge wangu nakucheki,Angusha finance bill.