Spoken Word

Being Kenyan

BEING KENYAN

By Shesia the poet

 

I’ve been thinking about hii yetu Kenya All I see ni mashida Tu zinapenya
Toka doo zichorwe animal wa mwituni Ni msoto Tu zishaenda misituni

Msee wa boda anadai bei ya mafuta
Bei ya unga chini lini mtaivuta? Ma-youths wako idle tuko jobless
No money Kwa pockets tuko cashless Eti hustler itabidi aongeze bidii zaidi But hizo earnings ni kama jooh hazifaidi Riziki ni hard Kwa mvuvi kuivua Farmers wanadai maji ju hakuna mvua Alafu after degree hakuna job nanii Imekua hard kuishi hii maisha

Kujiuliza lini mashida zitaisha
Hii inashinda misri na story za Musa Hope Tu God atupe njema fursa Tumechoka kulilia serikali Wanachotupa Tu ni adhabu Kali

Related posts
Spoken Word

Ukweli Ni

Spoken Word

Let Me Take You Back

Spoken Word

KUJA NIKWAMBIE

Spoken Word

Kenyan Profile

Sign up for our Newsletter and
stay informed

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *