Spoken Word

War

By Sammy Tommy

Hakuna time yakucelebrate ni gunshots kwa air teargas haitutoi drops tena but death, death imetutoa machozi.vile war imeleave behind deep scars that take generations to heal, psychological trauma na displacement ya watu na erosion ya trust na compassion zote ni long lasting effects.

Ni donda sugu mwengine hajali kumshikia gun mwengine na wote ni Ndugu. Tunacreat fatherless generation, motherless generation, Na hii war haikuwi kwa battle field Tu but ata kwa hearts na minds of those who are caught in the cross fire,am so tired,vile war inaispire fear,anger na sense of powerlessness only because of greedyness na hate,chuki adi ingekua nyuki haingetengeneza asali,

Ati Juu wewe apa sio kwako instead yakutumia right procedures unanishikia shoka kabla sijaji-panga unanikatakata hujui ile chuki umewacha Kwa watu behind me, Yes me , umefanya good land ikue misri ,tutakaanani kama umetake everything.

So kama utengano ni udhaifu tukuje pamoja as global community ilitukihope kucreate a future yenye iko free From the devastating impact of war.

Related posts
Spoken Word

Ukweli Ni

Spoken Word

Let Me Take You Back

Spoken Word

KUJA NIKWAMBIE

Spoken Word

Kenyan Profile

Sign up for our Newsletter and
stay informed

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *