By K BREEZE
Ukiona nimekuja undermike,usione nikuwasta time,
Coz hata niki utilise iyo time kwa streets,ni crime tu ita ni undermine,
Kwa mtaa yetu ata utry aje your best, majority of the youths who are jobless watakufanya
utatense,Wanakutenda bila kutumia their common sense,Na ukiwauliza wanakusho ati kwao law
haimake sense,kutokana na the rising living standards bila kujali their presence,
Si wakati fulani kazi mtaani ilisaidia youths fulani,walikosekana mitaani kisa na maana walienda kufyeka
majani,afadhali enzi hizo walipata kitu ya kuweka mezani ,sai wanalia serikali wakiilaani,coz wamekosa
hata Ile kidogo ya mfukoni,this are the voices of jobless youths,wasomi wamegraduate lakini Bado
wanapiga lami,azin bado wanatarmac,this is the main cause of crime in our streets,Sijui kama my
beloved government wataskia the grievances of the jobless youths,maybe we can solve the struggles in
the streets..
BREEZY THE POET