Kumpiga Mwanamke haitaleta hisia,
Juu after all utakuwa umeshukishia,
Kwake hakunaga mwanasheria juu kila mtu huwa anamwita Ghasia,
Yake imesahaulika kwa historia kila mtu anamtumia,
Na kama si mama sijui kama ningekuwa hapa,
Mama wewe ni shujaa wangu,
Najua the best gift God alinipea ni wewe mama,
Ukanibeba na hii bumb yenye kila mtu anaogopa,
Mia kwa mia mm nishakukwamia,
Mwanamke anaharamiwa juu hana nguvu ya kutumia,
Education ndo key ya success najua itakuwa fare pia msichana akisoma juu mama ni taifa,
Usimkunjie mwanamke ngumi juu yeye analeta uchumi,
Usimfanye mwanamke kiwanja cha mpira, kila wakati ni kugonga tu,
Na ndio maana nasema tusimpige Mwanamke