Spoken Word

Tumlinde Punda

By Palma

Kuna huyu mnyama nataka kuongelelea hapa,
Its high time tukuwe keen juu penye tumefika hakuna mtu anamjali,
Kwa vitaa ya kulinda Punda sisi wote tuko ndani,
Juu najua goal ni kumprotect punda,
Kumpiga punda utakuwa Umeshukishia,
Juu yeye hanaga mwanasheria,
Yeye ndio huwa anafanya nakula,
Ananibebea mizigo yenye binadamu hawezi kubeba,
Kumpiga haitaleta hisia,
Punda hafai kudhulumiwa,
Punda anadhulumiwa juu hana mtu wa kumtetea,
Its high time Tumfanye punda our personal pet
Na tuanze kumlinda,
Najua itakuwa fair pia punda Akipewa chakula juu yeye anatufanyia kazi mzito,
Usimshikie punda mawe juu yeye ananiletea pesa na hiyo inajenga uchumi,
Na ndio maana nasema tusimpige punda

Related posts
Spoken Word

Tomorrow

Spoken Word

I PRAY FOR YOU

Spoken Word

LIGHTS OFF

Spoken Word

NEVER GIVE UP

Sign up for our Newsletter and
stay informed

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *