By K-BREEZE
Jana kulikuwa na jua,Leo still Iko but light yake si sure,
Coz mheshimiwa Ako busy kutu address na mitaani tunaumia,
Tumetenga being the narrative for real hatuna kitu Cha kujivunia,
Ati housing levy na still mzigo umezidi kuwa heavy,
Simon Peter Ako wapi atusaidie kubeba cross,
Coz for real tumechoka,
Tumechoka,
Tumechoka.