Spoken Word

Tomorrow

By Denkuz
Napendaga kutembea nikifikiriaga a lot
One day nitaride nikishikishaga ma plot
Hizi ni dreams niliotaga kwa maplot
Na vile nina land, Lord nakupa ten over ten
Praising him walai amenitoa far
Siweki Imani yangu kwa mwanasiasa
Naiweka kwa mwana wa Mungu Baba

You have to choose between praying and playing
Big up to every youth in this street
Bila daro still wamekua doctor fix it
Advantage ya kuinama sana ni huwezi choka ku pray
Once you shoot your shot, make sure you kill that prey
Ivo ivo fight adi kaivane
Mchana pia ni usiku wa manane
Two bites at a time kaa hot dogs za kanairo
Live to fight for another day,
Tunakuitaji tomorrow
Mwezi na month zilimake love on a high moon
Tukabarikiwa na suns of the soil on a high noon
Cheki brightness ndani ya mirror
Daro nilikaa enough juu ya hii stage, na ntasimama adi nikue na car.

Looks are deceiving yangu ni ile ya Jana
Mboka tu ndo tofauti
Saa zingine from eight to five, five to nine
Umoroto Tena na Tena
Mambo ni mengi masaa ndo chache
Hii pen inanikunywa
Natema mistari mature
Nikifunga pia nafungua
Mambo yamechemka na huku kunaungua

Na hii side ya left inauma
Mokoro hajai pona, bado anasumbuliwa na kifua
Buda hajawai nona, bado yee ni mlevi
First born hufai kua mlazy
Niligrow nikijua ivo
Dreams ni mob though, kulala hii mtaa ni injustice
Lazima ukue awake,
Awake to see another day coming
Awake ukitegea daktari atibu your patient
Awake ukue able kuchase hizi dreams
At this hour, you only need to just breathe
Ivo ndo nilimshow
Ningekua daktari ningekutreat
But I'll still pray to God ndo aku heal

On a daily basis upate ugali, na your favorite meal
Uwache kuhide sadness behind that meme
Uwache kupigia mweshimiwa simu
Ukibelieve one day ata pick your call

You see si ata wewe uliona
Our freedom was hijacked
Walituchocha but we will try one day
Tutafight again na tutashinda
Lakini for now wacha tujijenga kwanza
Let's build our strong holds
We still need to be there tomorrow.

Poet Denkuz

Related posts
Spoken Word

Tumlinde Punda

Spoken Word

I PRAY FOR YOU

Spoken Word

LIGHTS OFF

Spoken Word

NEVER GIVE UP

Sign up for our Newsletter and
stay informed

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *