By Daniel the poet
There is a big hotel in the eastern part of africa
At the door there’s a big welcome translation yake apo kando Karibu
Wale wanatangulia kufungua mlango are just africans, I guess ni wakenya
Closely wanafuatwa na watu wameshiba vizuri
Suti zao zao zimewafit but juu ya kitambi they cant button their coat.
Kenyans wame wasorround,and those in suits kila mtu is having a seat round a table
Ata mtoto mdogo can read tamaa on their faces, design mate inawadondoka
Hii culture si yetu I guess its from the west juu kwa meza si kijiko tu naona but kuna kisu na fork
Na because kenyans have no seat on the table they’ll have to wait for anything that will be dropping
off the table. So menu haina meal moja tu iko na kadhaa
From mali ya uma na kadhaa
So kila mtu kwa table ako na option ya kuitisha
Naskia mmoja anaitisha tax on sanitary towels.
The next one anaitisha V.A.T kwa mkate
Mwengine anaitisha eco-levy
Mwengine housing levy
Nobody seems to care cause bill ikitoka hio mzigo si yao kubear.
So they don’t care
Kenyans who are watching wanataka kuwacut wasiitishe more
Lakini sauti zao haziskiki.
But list ni ndefu
Na wanafeel waitishe zaidi.
Mwengine anadai mafuta iko affordable wacha ushuru iongezwe zaidi
Mwengine akiangalia wallet anaona imejaa anasuggest transaction ya mobile transfer ipandishwe
Na viongozi walipofeel wameitisha
Wakenya walikua ready kuwaonyesha
Hakuna vile wanaeza lipia bill si yao
For so long wamebebeshwa mzigo but this time I guess timing ya viongozi ilikua mbaya cause even
before mzigo iland kwa mgongo ya punda
Punda alianza safari.
Reject
Na tutaifanya tena na tena