By Palma wa Vasho
Take Care of yourself,
Insecurities zimekuwa
mob wakora hawataki kukuona hata na coin ya bob moja,
Government support imekuwa minimal leading to the rising cases of criminals,
Nasema Hard ground imekuwa tafash Try kuraise our voice tuone kama watatupata,
Kisu siku hizi haifanyi biashara ya kukatakata mboga siku hizi naona kwa mtandao visu zikitolewa kwa matumbo za watu,
So take care of yourself