Spoken Word

Social Issues

 

So huu Ndo mtaa natokea, Mtaa wenye ata wamama wanamiliki Berbershops, Mtaa wenye vijana wanashinda njaa ndo wakule Luku.

Daily ni new cases za Wizi vijana hawatumii vipaji kama Khalifa. Na poverty imekuwa kama flying insect vile daily inatutrap na sweepnet, Siwezi afford escort ya breakfast nitaweza aje kumiliki company? Ni juu ya poverty that’s why MATAJIRI wanamiliki Our property, na ukijaribu kufollow up ata mahakama inalook down on you.

Ni Kwa huu mtaa wenye politicians walitu-Lie ndo walale parliament, Hakuna maji so hatuezi afford baby shower, Stima hakuna na hii story Haiwashock.

Niko kwa society yenye hatuezi afford ugali tunaenda gym Ndo atlist watu watushow tuna-unga, hakuna mtetezi juu viongozi wa Taifa wanakula Madolla.

House zetu kuna domestic violence na hatuezi afford cattle, Watoto Wana-Undergo Mental issues hatujui Nani atasolve.

Kuna wenye wako na keys za education but kupata success imekuwa ngumu, Ile design ya mgaagaa na upwa but still wali hauna supu. Mchumia juani Leo ameplant trees but still akuna Mitikasi.

Early marriages na abortion imekuwa only option, vile watu wako-desparate tunacreate evil society ya crime. Rape cases ziko high, binadamu kitu anataka nikucome. So God tuondolee vihoja coz mahakama haiwezi tufanya tuwe kimoja.

By Sammy Tommy

Related posts
Spoken Word

Ukweli Ni

Spoken Word

Let Me Take You Back

Spoken Word

KUJA NIKWAMBIE

Spoken Word

Kenyan Profile

Sign up for our Newsletter and
stay informed

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *