Spoken Word

SIKU GANI

SIKU GANI

By Dee Olach

What you give is what you receive mkono gani? Naona sikuizi madereva wamekua mawaiter wanapatia maofficer chai na vile our economy ni mbaya we can’t get ata our daily bread so lini watatii

I think we are blinded to see ndo si huitisha za macho nowonder tunaonewa. Ati cha kaisari apewe kaisari sikuizi anachukua na bitter truth is anavunia kivulini sisi tukichomeka na jua

Many things happening behind doors so huezi jua. Bei ya petrol inapanda na mko daily kwa news mnajigas. Ati utumishi kwa wote uongo na kila kitu mnajiserve first All time tunadhani mko kwa office mnatuserve kumbe daily vacation outside country first class

Naskia fununu ati bei ya mbolea imeshuka tutalimapi kama mashamba mlishagrab. Mlishindwa kutuconnect job opportunities sai naskia mnatuekea free wifi tuwalipe tena.Ona vile mwenye kiti anameza kupitia mlango wa nguma ati corruption kama culture ukiacha we ni mtumwa If we are winning basi kizazi cha kesho ndio wanaloose. Wametupromise heaven what the hell is this .society inatisha corruption daily ndio hubisha services bila kakitu haiezi work watakupitisha miezi wakisema kuna papers una lack

Allocation za floods na bado watu wanapoteza their lives mnatubebaje.. Ati action speaks louder than words kwetu alikua bubu ama alishadedi labda alishapata replacement ya tax levy.

Beautiful manifestos na mkipitishwa mnapatikana kwa graft cases mnachoma picha.vile nimekonda ata taa ya mkopo ina utambi.competition huku ni ya kazi mbona nyi hutuleteaa  rallies. Economy ni crisis sijawai panda uber na mnaongeza taxes tuko blessed na able leaders funny thing they are unables to lead us.Tumechoka kukaa na hopes juu ata  patience alicheat.Ntaitwaje sugar na bei ya sukari imepanda kwa bunge motion zinahit ni za impeachment badala topic poverty na high taxes..mnatupromise change mkipitishwa mnakua naughty mbona mnaact normal na deep down mko addicted na noti ati nipe nikupe washatick the wrong marking scheme ongea ukweli watakuhanda.Nimejam vile siezi afford mkate juu pia sisi tumechoka kubeg aaah.

 

Related posts
Spoken Word

Nchi ya ahadi

Spoken Word

Swali

Spoken Word

THE MONSTER OF TODAY

Spoken Word

UNITE TO IGNITE

Sign up for our Newsletter and
stay informed

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *