Spoken Word

Sabasaba Mwokozi Tutetee

By Palma Wa Vasho

Tangu election idedi, maisha imekuwa so Hectic, Cost of living imekuwa High,

Huwezi ata buy time ya kujitoa uhai, Slowly tunaDie,

Bei ya Food stuffs kila siku inaRise, Usisahau mafuta,Shuge na Rice, Nani ndo mwokozi arise,

Caz Vitu kwa duka ziko na crazy price, Na Mshahara haijarise,

Namba saba, saba saba nadhani ndio mwokozi arise,

Ju mwenye tulitegemea sai anaNICE,

Breko yake huwa ni SMOKIE na KINGSMILL,

Wakati sisi huraukia STRONGTEA tunasema hiiyo ndio MEAL,

FESTIVE ni sembe huwezi afford, ju penye imefika maybe ukuwe SELECTA, Ata akiJAM, mwambie MKATE ni 70 bob so hatuwezi afford,

Unga ya DOLA ni more than a Dollar, AJAB inatuonyesha AJABu,

Bei ya NDOVU imetukalia kiChapati, SUPA LOAF imegeuka SUPER LOAD, SabaSaba mwokozi tutetee,

I    think haitakuwa unfaie tukimwita zakayo, Caz tax ametuwekea aki zinatukatiza mayo, Arna ameturudisha enzi za Nyayo,

Lakini pia hizo enzi tax haikuwa kibao, SabaSaba mwokozi tutetee,

Sisi mayut ndo majority Gava isitu mis-Use, Viongozi ni wale wale tabia ni ile ile tu,

Viongozi wanapewa first priority Kushinda wenye wanadie juu ni wasick, Wanablow hot air mbele ya camera ikifika nyuma ya camera wanaitana my brother Wakihave a dinner,

Na mwananchi wa kawaida ndio anazidi kuadhiriwa kwa sababu hana say, Afande mi udhani tunafaa kuishi na Undugu but design unatoa watu

Tears na tear gas inajaza watu pressure na gas,

SabaSaba mwokozi tutetee.

 

Related posts
Spoken Word

PRA TREE

Spoken Word

Ngeli ya TU

Spoken Word

NA-JUA

Spoken Word

MGALA MUUE...

Sign up for our Newsletter and
stay informed

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *