By Maina Meryer
Inafade desire ya ku chase dreams
Kumake promises zenye siwezi fulfill
System haitaki mtu real
Watakupointia gun ready to shoot and kill
Wanafeel entitled her body anaclaim ni his
Alimtuma 6feet, eti alikuwa disrespected ju dame akusubmit
Tuko misleaded na hii patriarchy system
Ndio ukae sana kwa power maybe ukuwe patriarchy princess
After 5 years hakuna change
Ju wanainchi tuliuma inje
Ni ka bird ime starviwa kwa cage
Wali sugarcoat manifesto na kumbe walikwa na Agenda ziko hidden