Spoken Word

Posion

Nilikua nikienjoy that life waah, nilikua blind folded

My dream was set aside poison alikua the best to carry own

So nilispend time mob na poison nilikua nimesahau niko na wife

na kids home.

Poison ilinipunguzia stress ya life nilijidedicate fully but after all

I was in darkness. My wife alikua anaongea nilikua namweka mablow

Sikujua nilifaa kumpea madooh.

Nilipita kwa road nikiwa na my friend poison niliskia kuna pastor

anasoma revelation, ati Jesus came for the sinners so I decided to listen

He came for sinners ndio but poison is my winner nilijaribu kupingana

na nafsi na my poison but pastor aliemerge the winner.

Nilifikiria wife wangu Linda happy woman but daily nilikua nikimliza

Daily intoxicated na spirits nmetoka kwa bar nafika keja na usiku wa giza

Sikuamini kuwa Jesus angenipata offguard nimeamua nimemuacha huyu poison

nimgeukie huyu God. Siamini kuwa Jesus amekuwa wangu antidote ilikuwa bado

kidogo my life niweke a dot.

Henceforth Jesus we ndo wangu my dawa nimekataa hii maneno mbaya ya hawa

Light yangu ilikua ikififia but now nimeona mwangaza

From now on si poison tena ni jina lako nitatangaza.

Dee Olach

 

Related posts
Spoken Word

Ukweli Ni

Spoken Word

Let Me Take You Back

Spoken Word

KUJA NIKWAMBIE

Spoken Word

Kenyan Profile

Sign up for our Newsletter and
stay informed

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *