Spoken Word

Peace

 

Nimeamua kuandika hii piece for peace
Although keyboard inatoa sound ya bullets
Nataka kushoot izi points to you ,
Zistick kuliko super glue, unaget iyo clue
Blood shed isiwai kuwa option ikam after last option

2007 tuliona hell Kenya, door way ya lucifer Si unakumbuka hiyo way iliacha doa

Kuvunjika Kwa ndoa juitwa madoa doa
Family breakups zilishindana na heartbreak
Blood shed kulikaa butchery ,men wakawa butchers Sijui Ka unaniget
Tunakumbuka regrets,days bila meals
Dead bodies ndio ilikua deal for real
Ndugu mjaka akawa si kaka
Mkale akasahau ya kale
Undugu tukasoma Kwa magazeti
Ile ya bob, one love tukaiuza bob
Machoni yakajenga Moto tukasahau Hadi miito
All cause ni chaos
So am writing for peace
Najua am nobody ,but pia 2 waliita yesu nobody Tupendane asf tunashare mum
Dad na mum ni Kenya
Homeland na habitat
After demonstration , si bado tunakulia ujinga yetu In Jesus name tuishi for others sake
Na tusishake hio si ni deal

Shesia the poet

Related posts
Spoken Word

Tomorrow

Spoken Word

Tumlinde Punda

Spoken Word

I PRAY FOR YOU

Spoken Word

LIGHTS OFF

Sign up for our Newsletter and
stay informed

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *