Spoken Word

NIPE UHURU

NIPE UHURU

Imagine, imagine life bila hosi, life bila amani na uhuru life yenye watoi hawasomi crime kwa ghetto Giza home hatuoni nuru. Life ya bidhaa juu na ushuru

Miaka kumi imepita I think it was better life was bitter but uhuru for the better.

Stima mashinani imelighten up, tulikua gizani but tumeamkia brighter days. Nuru mtaani imepunguza crime rates.

Tuko pamoja ilileta Uhuru ikachangia undugu ikapunguza the hate. Life ikagain taste mamamboga mtaani akaanza uza mboga akasahau what Vita-means.. Mtaala mpya wa masomo ukafanya watoi waende shule wajue what future is…

Bima ya afya kwa wamama wajawazito ikapunguza the pressure ikakua at ease..

Kazi mtaani ikaleta some opportunities,, kina mama wakapata chance kwa serikali kubring up the equality..

Miundo msingi bora wananchi wakaacha ishi bora maisha wakaanza ishi maisha bora… Usalama ukazidi mipakani uwiyano ukazidi na nchi jirani ukafnya kukakua na  no borders..

Budgeti kwa wazee na wasiojiweza kinua mgongo ili maisha izidi kuendelea,, si viwanda tuu mpaka barabara safi ametujengea

Uhuru amekua leader umekua hardworking ulikua na vigour na  umetuondolea shida…

Poet Dee olach.

Related posts
Spoken Word

Tomorrow

Spoken Word

Tumlinde Punda

Spoken Word

I PRAY FOR YOU

Spoken Word

LIGHTS OFF

Sign up for our Newsletter and
stay informed

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *