By Campos World
Washakua wahenga na wahenguzi
Ngeli mpya ishapata kazi
Things ain’t working na ni wazi
But ngeli ni moja ya “Tu
Eti barabara zina shida
Drainage system everytime ya mvua ni shida
Many making loses Kwa biashara kila Mida
But kwenu ngeli ni ya kawaida “TU”
“TU”metenga bilioni kumi kurekebisha barabara
“TU”tahakikisha hakuna mwananchi ameteseka
“TU”taleta hivi… “TU”tafanya vile
Mpaka lini “TU”takaa “TU”kingoja kuona marekebisho
This such a shame our international Airport flooding and we have the audacity kusema
“TU”tarekebisha
We have the ministry of Transport
Let’s talk about it
The leaders tulivotia wako wapi
Let’s talk about it
Ile pesa iliekwa Kwa budget
Let’s talk about it
Ile Tax sii hulipa
Let’s talk about it
Tubadilishe ngeli ya “TU”
Let’s talk about it.