By Maina Meryer
Dear mazingira
Ungekuwa dem Ungekuwa bikira Daily nakuwaza vile ni future utakuwa Ju watu wamekuviolate in many ways Kila corner wame dump waste
Water bodies ziko polluted
Zimejaa makaratasi na plastic ni ka zinarace
Land ziko infertile, njaa na magonjwa ndio inamaliza the human race
Ni ironing vile city council wanafaa vizuri wakuhandle instead ya ku grab space na kukumishandle
Walikata miti ndio parliament wajaze viti
Mhesimiwa aligrab space, Mtaani grao ziko missing