Spoken Word

MASHUJAA254

 

MASHUJAA254

OGINGA ODINGA alikuwa kinga,
But alikataa kuform serikali,
Nasiety wakoloni walikua wakali,
All KANU wanted was MZEE KENYATTA apate kibali, 1963 tulikua free,

1964 KENYATTA alipopata,
Siezi sema kwake umoja haukua hoja, Cause I believe HARAMBEE ,
Ilikua ili bendera yetu ipepee.

1984 MOI alipopata,wengi hawakua walala hoi, MAZIWA si mlikunywa nasieti toka ziwa Victoria,

Safari ya kupigana na UJINGA,UMASKINI NA UGONJWA,ikaanza cause alikua anafuata NYAYO.

A moment of silence for MATIBA,
Kuna party alileta na haikua na mziki,
Kuna party alileta na watu hawakukata maji,
Wengi can’t tell tulifikaje kwa hii party,
but FORD-KENYA ndio ilikua gari,
Na party naongelea…ni baada ya SEC.2A kuwa REPEALED,call it MULTIPARTY.

Tuli lilia haki 2002 KIBAKI hakubaki,
si FREE EDUCATION,ilikuja
Wengi waliikubalia,na sisi pia tukailaki.

Sijui mbona 2007 mlisema RAILA amekuja mkia, But damu kumwagika ndio alichukua,
Si KATIBA ikapata SURA MPYA you remember?

Naandika huu wimbo…
ju MASINDE MULIRO alikua HERO,

Niko na huzuni…
Ju tulikataa kuskiza
PROPHECY YA MUGO WA KIBIRU,
Niko na huzuni…
Ju PROPHECY YA MASAKU inazidi kutimia, Naskia uchungu maanake
Hatukumskiza MWEA MWENDA na OR KOIYOT Ju maybe sai RASILI MALI ZETU
Zingekua ZETU PEKEE YETU na si za WAZUNGU!

…………………acha nijiintroduce kabla wino ukatike

Another one from DANIEL THE POET

Related posts
Spoken Word

INJUSTICE

Spoken Word

DEMO -SI- TRATION

Spoken Word

SAUTI YA MNYONGE

Spoken Word

VILE TULI-a-h

Sign up for our Newsletter and
stay informed

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *